Wednesday, 21 August 2013

KIMATAIFA:ALHAJI MWINYI NA MZEE MKAPA WAWASILI NCHINI ZIMBABWE KUUDHURIA SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS MUGABE



Marais wastaafu Alhaji Mwinyi na Mzee Benjamini Mkapa
pamoja na wake zao Bi Siti Mwinyi na Mama Anna
Mkapa wakiondoka uwanja wa ndege wa Kimataifa wa
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kuelkea nchini
zimbabwe kuudhuria sherehe za kuapishwa kwa
 Rais wa Nchi hiyo Robert Mugabe inayotarajiwa kufanyika
kesho Alhamisi ya tarehe 22/8/2013 nchini humo.

Marais wastaafu wakiwasili Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa jijini Harare,Zimbabwe
waliko alikwa kwenye sherehe za kuapishwa kwa
Rais wa nchi hiyo Mhe.Robert Mugabe.




0 comments:

Post a Comment