Lil Twist kutoka Young Money anaweza akaingia matatani tena
kutokana na mikasa
ya ajabu ajabu yanayomkuta baada ya kumaliza na mkasa wa kulewa
sana na kuendesha gari
na besti wake Justin Bieber siku ya jana majira ya saa tisa
yalimkuta maswaibu haya
baada ya kufika nyumbani kwa Bieber na kumkuta Mwanadada
aliekuwa kwa msanii huyo
akitoka na kumzuia na kuanza kumvuta nywele asiondoke aendele
kwepo mjengoni pale....
Lakini baada ya mwanadada yule kukata na kusepa alienda moja
kwa moja polisi na kushitaki kosa
hilo.......Je hili laweza kuwa tatizo kwake kwa kijana huyu aliye
chini ya Leno ya baba yake
Birdman. Young Money.......
HABARI KWA MUJIBU WA TMZ |
0 comments:
Post a Comment