Mwakilishi wa Tanzania kwenye Miss world Mwaka 2012 Lissa Jensen anatazamiwa kujifungua muda wowote kuanzia hivi sasa.... Akionekana majira ya jioni kwenye Clinic ya Dr bingwa nchini wa wanawake Pro Mugaya aliwasili na mpenzi wake ambae ndio baba mtarajiwa,Lissa mwenye kuonekana kuchoka Detective wa Thisisdiamond alimshuudia akishuka kwenye gari aina ya Prado akiwa amevalia Pensi ya jinsi na Blauzi kubwa akiwa na kijana mwingine na kumuacha mpenzi wake huyo mwenye asili ya ushombe shombe kwenye gari....Baada ya kuwasili Hospitalini hapo kijana ambae akufahamika mapema alionekana ndie alifanikisha kila kitu hadi kuweza kumuona daktari huyo bingwa wa wanawake nchini kutoka Muhimbili mwenye clinic yake ya wanawake maeneo ya mbuyuni Maria Clinic. Aidha Ilionekana kama kutokusemeshana baina ya mpenzi yule na Lissa hadi ameingia kuonana na Dr ndio yule kijana mrefu nae aliingia kusikiliza kinachoendelea. Kwa mujibu wa Nesi wa Clinic ile alifunguka hivi ''Atajifungua muda wowote,amechoka sana sidhani hata kama mwezi wa tisa utafika'' alizidi kufunguka ''Hii ndio clinic yao wanakuja sana hapa ni kwa daktari mzuri pia lakini kwa mdada huyu mimba inampelekesha sana,kama ata wewe ulimuona pindi ana wasili hapa,ajiwezi kwa chochote alipofikia muda huu naona dhairi atajifungua hivi karibuni''
Thisisdiamond inamtakia heri na baraka tele na mwenyezi Mugu aweze kumsaidia kujifungua salama salmini.... |
0 comments:
Post a Comment