
“Nafurahi kuona jinsi kioo cha jamii hivi sasa kimeigusa familia
kabisa, ukizungumzia nyumba unagusa swala la familia ambalo ndiyo msingi
wa Taifa lolote.” Haya yalikuwa ni baadhi ya maneno ya Mtitu, mmoja
kati ya watu maarufu ambao walihusika kwenye show ya Irene Uwoya. Katika
harakati za kutengeneza kipindi chake, Irene amekutana na mastaa
tofauti na kuzungumza nao mambo mengi ambayo yatakuwa kwenye show yake.
Chukua time yako ya kuona jinsi ilivyokuwa na upate sababu nyingine ya
kuangalia hii show kupitia @CloudsTV na pia unaweza kucheki promo yake
hapo pembeni.

Mtitu wa 5effects

Ambwene Yesaya na Irene

Jacob Steven “JB” kahusika kwenye show

Mrisho Ngassa yupo kwenye show

Steve Nyerere naye ndani

Mtitu wa 5effects


Ambwene Yesaya na Irene

Jacob Steven “JB” kahusika kwenye show

Mrisho Ngassa yupo kwenye show

Steve Nyerere naye ndani
0 comments:
Post a Comment