Huddah Monroe,The Boss Lady mwenyewe toka area code +254 kwa mzee Uhuru Kenyatta,katika kuendeleza mwenendo wake mzuri na kujiweka saawia kama jina lake hii ndio nguo ambayo imeonekana kuwachanganya watu wengi waliofuatilia finali hizo za Big Brother the chase 2013 Kipindi anaingia kwenye finali hizo nguo hiyo yenye rangi ya njano ndio imeonekana kuwachanganya wengi kutokana na muonekano na figa matata ya mrembo huyu aliekuwa mwakilishi wa Kenya kwenye Mashindano hayo.
Kupitia mtandao wa Twitter watu waliomfuata kule walionekana kumpongeza zaidi kwa mtoko ule wa siku na kuonekana supa
zaidi ya walivyotegemea kumuona mrembo huyo mwenye matashititi yake..... Je wewe unasemaje kutokana na nguo hiyo......Ebu tiririka basi tujue na wewe imekubamba au Lah.....!!
0 comments:
Post a Comment