This is me my peole,picha hii mtoto wa Bi Sandrah nilikuwa natokea Airport baada ya kuwasili kutoka nchini Congo,niliiweka kwenye mtandao wangu wa Instagram,facebook na Twitter lakini humu nilikuwa bado sijaiachia sitaki nipendelee mimi mtu wenu nimeamua kukuwekea na wewe mpitiaji wa Blogsite hii uweze kuiona.....I LOVE U, YES U ndio ujumbe wa picha hii... |
0 comments:
Post a Comment