Kwenye sakata la uchaguzi barani ulaya,mchezaji wa Arsenal Gervinho amehamia AS ROMA ya Italia kwa ada ya pauni mil 8. Gervinho alihamia Arsenal mwaka 2011 akitokea Lile ya Ufaransa. Uhamisho huo wa Gervinho umetajwa kuwa wa pound milioni 8 walizopewa Arsenal.
Msimu wake wa kwanza aliifungia Arsenal magoli manne kabla ya kufunga magoli saba msimu uliopita.
Amekuwa
akipata ushindani wa kuwemo kwenye kikosi cha kwanza cha Arsene Wenger,
na huenda usajili wake wa kuhamia Seria A utakuwa changamoto mpya kwa
mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26. |
0 comments:
Post a Comment