Wednesday, 21 August 2013

NEWS:TAZAMA PICHA ZA BEHIND THE SCENE YA VIDEO MPYA YA T.I.D -RAHA



Raha ndio nyimbo mpya toka kwa C.E.O wa Radar 
Entertainment TID katika kukuletea wewe muziki
mzuri sasa ameamua kuingia mzigoni kukufanyia kichupa
 cha nyimbo hiyo yenye maadhi ya kimahaba
zaidi,Stay tuned kukiona kwenye Luninga yako video
 ikiwa imesimamiwa na Fine Image Production.

Cheki picha kadhaa kwenye ufanyaji wa video hii....



Mzee Mnyama mbele ya camera....

Ufukweni mzee Mnyama na Bebez....

0 comments:

Post a Comment