Wednesday, 21 August 2013

NEWS:HAYA NDIYO YALIOJIRI WAKATI FEZZA KESSY AMEWASILI NCHINI BOTSWANA



Kwa sasa unaweza sema kwa mjini Gaborone hii
ndio linaweza likawa lipo akilini mwao hadi sasa kwa 


wakazi wa jiji ilo.Fezza kessy & Oneal siku ya
jana walifunga barabara za jijini hapo toka Airport
alipowasili mwanadada Fezza kessy na kupokelewa
na umati wa watu ili walazimu kutimiza matakwa ya
wananchi baada ya kuwasili wazunguke mitaa
kadhaa ya jiji ilo ili kuepusha
usumbufu wa kuzongwa na watu kutokana na kila
mwananchi kuongozana nao wanapoelekea....

Hii inadhihirisha kuwa hata raia wa Botswana
walikuwa wanamkubali Fezza Kessy tangu akiwa ndani
ya jumba la Big Brother kabla ya kuondolewa week
moja iliyopita, Zicheki Picha kadhaa Fezza
alipolakiwa na wananchi wa jiji la Gabarone nchini Botswana.
Oneal na Fezza wakiwapungia wananchi wa
 Gabarone walipokuwa wanapita mitaani..

Umati wa wananchi wa Gabarone waliojitokeza
uwanja wa ndege wa kimataifa wa Botswana.
Hali hii ilizidi hadi walipowasili hotelini ambapo
 fezza amefikia,ni picha picha tu watu kupiga
kama ukumbusho waeza ona hali halisi kwenye picha hii....
Fezza mwenye furaha kuona anakubalika sana ugenini,
kiukweli ni jambo la kujivunia kuona
bendera ya Tanzania inazidi kuonekana na kutambulika duniani.

Ukiangalia kwa karibu Tshirt za juu ya Fezza na
Oneal zinafanana Pia...kweli mahaba mahabani..

0 comments:

Post a Comment